HEMEDI (PHD) & GERRY WA RYMES WAGOMBANIWA NA MADENT WA UDOM BILA WAO KUJIJUA

unaambiwa baadhi wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Dodoma (Udom) ambao wamemaliza mtihani yao jana na wengine leo inasemekana kuna baadhi ya madent hao wa kike wamegoma kwenda makwao kwa ajili ya wasanii hawa ambao ni kipenzi cha kina dada wengi kufika DodomaGerry wa Rymes Inasemekana kuna baadhi ya wanafunzi ambao wamekiri wenyewe kuwa wadhaifu kwa PHD, huku wengine wakizozana wangu Jerry, Mnyetishaji wetu ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho ambaye hakupenda jina lake litajwe alitutonya kwamba wanafunzi wengi wa kike wanamfagilia sana Bishoo PHD Hemedi na kuapia kutokwenda makwao mpaka jumapili hii ambapo Hemedi na Jerry wa Rhymes kwa mara yao ya kwanza watafanya show yao pale Maisha club Dodoma Jumapili hii ya tarehe 16 kwa kiingilia cha buku 7 mlangoni.

0 comments: