RAIS KIKWETE AKIWAKABIDHI KADI WALE WASANII WA BONGO MOVIES NA BONGO FLEVA WALIOINGIA CCM

  JB akizungumza machache kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutamka kuwa wamejiunga na chama cha CCM.Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,mara baada ya kuwakabidhi kadi za kujiunga na chama cha CCM jioni ya leo. Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya gitaa Msanii maarufu wa jijini Mbeya,Petrol Abel a.k.a Awil,anaeshuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi.Zakia Meghji.

0 comments: