
Leo asubuhi nilipoamka nilifungulia radio yangu nikakuta Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.T
Huu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)
‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio mwanamuziki mimi nilikutana naye
Zanzibar Unguja,tena nakumbuka kwa mara ya mwisho alikuja na Gerry
Rhymes lakini Gerry alikuwa afahamu kitu chochote, chakushangaza tangu
nilipomfanikishia mahitaji yake maana mimi ni mganga basi amenisahau
kabisa nikijaribu kumpigia simu hapokei mpaka anapokei tuzo anapata
safari za kwenda muscat amenisahau mimi ninaomba anipatie vile vitu
alivyoahidi kwangu anipatie,sio kwa ugomvi ila sheria zetu sisi waganga
kwasababu hizi ni kazi namdai deni la laki tisa nikimpigia simu hapokei
ndio maana nimekuja hapa kuripoti’Alisema Mganga huyo.
‘Vitu vingine nilivyomsaidia vipo vingi kwa mfano anapotarajia
kuachia wimbo mpya basi anakuja na Cd kwangu na mimi nafanyia taaluma
yangu ya Uganga mwisho wa siku unakuta nyimbo zake nyingi zinapamba.Mimi
naitwa Doctor Shariffa