HEMEDI (PHD) & GERRY WA RYMES WAGOMBANIWA NA MADENT WA UDOM BILA WAO KUJIJUA
unaambiwa
baadhi wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Dodoma (Udom) ambao wamemaliza
mtihani yao jana na wengine leo inasemekana kuna baadhi ya madent hao
wa kike wamegoma kwenda makwao kwa ajili ya wasanii hawa ambao ni
kipenzi cha kina dada wengi kufika DodomaGerry wa RymesInasemekana kuna baadhi ya wanafunzi ambao wamekiri wenyewe kuwa wadhaifu kwa PHD, huku wengine wakizozana wangu Jerry, Mnyetishaji
wetu ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho ambaye hakupenda jina lake
litajwe alitutonya kwamba wanafunzi wengi wa kike wanamfagilia sana
Bishoo PHD Hemedi na kuapia kutokwenda makwao mpaka jumapili hii ambapo
Hemedi na Jerry wa Rhymes kwa mara yao ya kwanza watafanya show yao pale
Maisha club Dodoma Jumapili hii ya tarehe 16 kwa kiingilia cha buku 7
mlangoni.
0 comments: