BEYONCE ALIFUNGUKA: NILIKUWA BIKRA WAKATI NAKUTANA NA JAY-Z

Japokuwa Beyonce hakuwahi kuzungumzia maswala ya ubikra kama
ilivyo kwa wasanii wengine wa muziki wa pop, lakini alikuja kuamini kuwa swala hilo lilikuwa ni muhimu
kwake.
Katika mahojiano hayo na Hollyscoop, Beyonce alifunguka kuwa
"nilikuwa bikra wakati nakutana na Jay-Z, lakini alipobanwa maswali
alikubali kuwa alikuwa na boyfriend mmoja kabla ya Jay-Z, lakini alidai hakuna
kitu chochote kilichofanyika.
“[W]e didn’t live
together, we didn’t, you know…” Beyonce says about the only other experience
she has had with a guy. She then reveals that Jay-Z was the next boyfriend
after that guy.
Beyonce na Jay-Z walifunga ndoa mwaka 2008 na kuanzia hapo
Beyonce alianza kukumbana na skendo za kuwa mjamzito kila baada ya miezi 6
baada ya kusema I DO
0 comments: