Showing posts with label MASTAA. Show all posts

BEYONCE ALIFUNGUKA: NILIKUWA BIKRA WAKATI NAKUTANA NA JAY-Z

0 comments
Mwaka uliopita mwanamuziki mrembo na maafu duniani Beyonce Knowls, alifunguka katika kituo kimoja cha luninga huko Marekani na kudai kuwa alikuwa bikra wakati anakutana na mume wake wa sasa "JAY- Z.
Japokuwa Beyonce hakuwahi kuzungumzia maswala ya ubikra kama ilivyo kwa wasanii wengine wa muziki wa pop, lakini alikuja kuamini kuwa swala hilo lilikuwa ni muhimu kwake.
Katika mahojiano hayo na Hollyscoop, Beyonce alifunguka kuwa "nilikuwa bikra wakati nakutana na Jay-Z, lakini alipobanwa maswali alikubali kuwa alikuwa na boyfriend mmoja kabla ya Jay-Z, lakini alidai hakuna kitu chochote kilichofanyika.
 “[W]e didn’t live together, we didn’t, you know…” Beyonce says about the only other experience she has had with a guy. She then reveals that Jay-Z was the next boyfriend after that guy.
Beyonce na Jay-Z walifunga ndoa mwaka 2008 na kuanzia hapo Beyonce alianza kukumbana na skendo za kuwa mjamzito kila baada ya miezi 6 baada ya kusema I DO

NEY WA MITEGO AHONGA GARI LA MILLION 36!!!!! SOMA HAPA

0 comments




BAADA ya kumaliza mgogoro wao, msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anadaiwa kumnunulia gari kali mpenzi wake aitwaye Siwema.

Gari aina ya Toyota Lexus aliyonunuliwa Siwema na Nay.
Akistorisha na gazeti hili, Nay alisema aliamua kumnunulia mpenzi wake gari hilo lenye thamani ya shilingi milioni 36 kwa sababu anampenda na alimuahidi kumpa zawadi.
“Siwezi kuficha nampenda sana Siwema ndiyo maana nimempa zawadi ya gari, nilimuahidi nitampa zawadi lakini alikuwa hajui ni zawadi gani, nilipomfanyia ‘sapraizi’ ya gari hilo hakuamini,” alisema Nay wa Mitego.
Hivi karibuni Siwema alitundika picha ya gari hilo lenye rangi ya silva aina ya Toyota Lexus katika ukurasa wake wa Instagram akimshukuru ‘baby’ wake huyo.

HEMEDI (PHD) & GERRY WA RYMES WAGOMBANIWA NA MADENT WA UDOM BILA WAO KUJIJUA

0 comments
unaambiwa baadhi wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha Dodoma (Udom) ambao wamemaliza mtihani yao jana na wengine leo inasemekana kuna baadhi ya madent hao wa kike wamegoma kwenda makwao kwa ajili ya wasanii hawa ambao ni kipenzi cha kina dada wengi kufika DodomaGerry wa Rymes Inasemekana kuna baadhi ya wanafunzi ambao wamekiri wenyewe kuwa wadhaifu kwa PHD, huku wengine wakizozana wangu Jerry, Mnyetishaji wetu ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho ambaye hakupenda jina lake litajwe alitutonya kwamba wanafunzi wengi wa kike wanamfagilia sana Bishoo PHD Hemedi na kuapia kutokwenda makwao mpaka jumapili hii ambapo Hemedi na Jerry wa Rhymes kwa mara yao ya kwanza watafanya show yao pale Maisha club Dodoma Jumapili hii ya tarehe 16 kwa kiingilia cha buku 7 mlangoni.

BAADA YA KUIKANA SKENDO YA KUTEMBEA NA WEMA UNAJUA MIRROR NA DIAMOND WAPO MBIONI KUFANYA NINI KWA AJILI YA WAMBEA ?? SOMA HAPA

0 comments
Msanii wa kampuni ya Endless Fame Films ya Wema Sepetu, Mirror amesema, Wema ni kama dada yake na wanaishi kama watu wa familia moja na kwamba tetesi za kuwa wana uhusiano wa kimapenzi hazina ukweli wowote.

“Hapana, hakuna kitu kama hicho kabisa,” Mirror ameiambia Bongo5 kukanusha tetesi hizo.
“Uhusiano ni kama msanii na bosi wake, she is like a sister kwangu, tunaheshimiana, hizi romance na vitu vingi havipo,” ameongeza.
Mirror amemuelezea Wema kama bosi mwenye roho nzuri.
“Napenda jinsi alivyo, ana roho nzuri, naishi naye poa, nina shida namuelezea, ana kitu chake tunakaa tunaongea, we have fun, we live like a family.”
Mirror amesema tangu ajiunge na kampuni hiyo, mabadiliko ni makubwa katika muziki na maisha yake. “Napata show nyingi, napata connection kufahamiana na watu,”amesema Mirror.
Msanii huyo wa Baby, amesema kwa sasa amefanya remix ya wimbo wake ‘Nadata na Wewe’ aliomshirikisha Diamond na mwingine amepanga kumshirikisha Diamond Platnumz.

DEMU WA PREZZO NA MSANJA MKANDAMIZAJI FULL UTATA!!!! CHEKI PICHA

0 comments

KAMA ULIKUA HUJUI BASI HUU NDIO MVUTO WA BABY MADAHA!!!! TAZAMA PICHA 10 HAPA

0 comments

KAMA HUJUI BASI HAYA NDIO MAISHA YA DIAMOND KILA SIKU ASUBUHI!!!!!!

0 comments