Showing posts with label UDAKU. Show all posts

LULU AMEKIRI, ALIKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA KANUMBA, HUU NDO USHAHIDI ALIOUTOA MAHAKAMANI

0 comments

MSANII wa Filamu nchini, Elizabeth Michael'Lulu' ambaye anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, amekiri kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii huyo na kwamba walikuwa na ugomvi.
Lulu alikiri hayo leo wakati akisomewa mashitaka yake mbele ya Jaji Rose Temba wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es salaam ambapo lulu  baada ya kusomewa mashitaka amekana kumuua.
Mbali na kukiri kuwa na uhusiano, pia lulu akikiri kuwa baada ya tukio alitoka nje ya chumba walichokuwepo na kwenda kumwambia mdogo wake Marehemu Kanumba, Setti Bosco kuwa marehemu amedondoka.
Akisoma hati ya mashitaka Wakili Mwandamizi wa Serikali, Monica Mbogo, alidai kuwa Aprili 7, mwaka 2012, Sinza Vatikani, Mkoa wa Dar es salaam, mshitakiwa alimuua bila kukusudia msanii Kanumba.
Wakili Kombo, alidai kuwa pamoja na mambo mengine, marehemu Kanumba baada ya kufa, mwili wake ilipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo majibu yanaonyesha kwamba kifo chake kimesababishwa na uvimbe ndani ya ubongo.
Upande wa serikali una mashahidi watano pamoja na vielelezo wakati upande wa utetezi unatarajia kuwa na mashahidi watano na vielelezo.


MANAIKI SANGA NA NEY WA MITEGO SASA CHUI NA SWALA, BIFU MATATA....KISA INASEMEKANA DEMU WA NEY KASHA.......CHEZEA MANAIKI WEYEEE,,,SOMA ZAID HAPA

0 comments
 Msanii wa Bongo Movie nchini Manaiki Sanga "The Don" 
Mwanamuziki wa bongo Flava Nay wa Mitego akiwa na mchumbaake aliyezusha balaa baada ya Manaiki Sanga kudai kuwa keshampitia na kutaja alama zilizopo mwilini mwake.
Na Mwandishi Wetu
Msanii Manaiki Sanga "The Don" ameonekana kumtafuta Ney wa Mitego na kuingilia ndoa yake baada ya kuandika kwenye mtandao wa Facebook akisema kuwa mke anaejitambia Nay ameshamla uloda sana kiasi cha kutaka kumuoa.
Kwenye post hiyo Manaiki alisema kuwa msichana huyo ambae hakumtaja jina alikuwa kama mke wake kwa kipindi kirefu sana na hadia nakuja kumchukua Nay ambae hivi karibuni ametangaza kumnunulia gari la milioni therathini kama zawadi.

SOMA HAPA MKASA HUU WA PICHA ZA UTUPU ZILIZOVUNJA NDOA YA DOKTA HATIMAYE KUPEWA TALAKA..CHEKI HAPA

0 comments




Mwanamke ambaye pia ni DAKTARI wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Salha Hassan amejikuta akipigwa talaka na mume wake, Abdullatif Mohamed kufuatia picha zake chafu akiwa na mwanaume mwingine kunaswa kwenye simu yake mkononi, Uwazi limenyetishiwa. 



Cheti cha ndoa ya Salha Hassan na mume wake, Abdullatif Mohamed.

Akizungumza kwa masikitiko makubwa, Abdul alisema alifunga ndoa na Salha Februari 15, 2007 na waliishi kwa upendo mkubwa.

Abdul alisema kuwa mwaka 2010 mkewe aliondoka Zanzibar na kwenda kuongeza ujuzi kwenye Chuo Kikuu cha Udaktari Muhimbili jijini Dar es Salaam.

“Akiwa pale Muhimbili mke wangu alinieleza kuwa simu yake ya mkononi (Nokia) inamsumbua sana, nikamshauri kwamba akirudi huku tuiuze halafu nimnunulie nyingine,” alisema Abdul. 



Salha Hassan akiisaliti ndoa yake.

Aliongeza kuwa, katika mwaka wa tatu, mkewe alipofanya mtihani alifeli, hivyo akalazimika kurejea Zanzibar kuendelea na kazi katika hospitali anayofanyia kazi.

“Siku kadhaa baada ya kurejea, nilichukua simu yake kwa lengo la kwenda kuiuza kama tulivyokubaliana, lakini mke wangu alitoa ‘memory card’ yake ambayo najua mlikuwa na vikorokoro vyake, hilo sikulifuatilia. “Tayari nilishapata mteja, tukakubaliana bei lakini kabla ya kumkabidhi niliamua kufuta vitu vingine ambavyo vilikuwa ndani ya simu ya mke wangu. Wewe mwandishi unajua, simu zina ‘dokumenti’ mbalimbali,” alisema Abdul.

Abdul alisema kuwa akiwa katika zoezi la kufuta kumbukumbu mbalimbali zilizokuwemo kwenye simu hiyo, ghafla alizibamba picha chafu za mke wake akiwa na mwanaume mwingine ambaye hakumjua. “Nilishtuka sana, sikuwahi kufikiria. Hata hivyo, awali nilidhani naota ndoto, lakini baadaye nikajiridhisha kwamba sikuwa ndotoni,” alisema Abdul.


Mwanaume huyo aliongeza kwamba, kufuatia tukio hilo baya machoni mwake alijikuta akianguka na kupoteza fahamu.

Abdul alimuonesha paparazi wetu picha alizozinasa ambapo moja, Salha anaonekana amelala kitandani akiwa amenyoosha miguu kwa kujisitiri na ‘kufuli’ tu. Picha nyingine amepozi kwa kuegemeana na mwanaume huyo ambaye Abdul alisema anaamini anaishi jijini Dar es Salaam au alikuwa akisoma naye Muhimbili. Picha nyingine, Salha anaonekana amepozi katika mkao tata akiwa mtupu. Picha mbili zilionesha alijipiga mwenyewe isipokuwa ile aliyolala kitandani.

Abdul alisema kuwa kufuatia kuuona uozo huo wa mke wake aliyempenda sana, baada ya kuzinduka alibatilisha uamuzi wa kuiuza simu hiyo na kurejea nyumbani ambapo alipomuuliza, mwanamke huyo hakuwa na majibu ya kujitosheleza. Waligombana sana na mwishowe aliamua kumrudisha nyumbani kwa wazazi wake ‘akimsindikizia’ talaka juu kwamba si mke wake tena.

Akasema: “Kwa kweli sikuweza kukivumilia kitendo kile, haikuwa nia yangu kumpa talaka lakini moyo ulishindwa kuvumilia kuona mke wangu yupo kama alivyozaliwa.

Baada ya kuzinyaka habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Salha kwa njia ya simu yake ya kiganjani ambapo baada ya kumpata na kumsomea mashitaka yake kuhusu picha hizo, alijibu kwa jeuri: “Mimi naona ulizokuwa nazo (picha) hazikutoshi kabisa. Ninazo nyingine, kama upo tayari nikutumie ili uziongezee kwenye habari yako. Kwanza mimi siyo daktari. Uwazi: Sikia Salha… Salha akakata simu.

Uzoefu unaonesha kuwa, tangu simu za mkononi zilipoingia nchini Tanzania, wapendanao, wakiwemo wachumba, wamekuwa wakiingia kwenye migogoro mikubwa inayosababishwa na matumizi mabaya ya simu hizo. Ni vyema wapendanao wakachukua tahadhari kuhusu matumizi ya simu zao. Baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya ndoa wanasema kuwa hakuna kiwango cha juu cha wanandoa kutopendana kama usaliti..

DIAMOND AKATAA MIKATABA YA MILIONI 325 NA 195 KWA AJILI YA DILI ALILOKUWA NALO KWA SASA..!

0 comments
Wote tunajua kwamba diamond platnumz kwasasa anafanya kazi na coca-cola kama brand ambassador na Vodacom Tanzania pia. lakini chini ya kapeti hauwezi kuamini deals diamond anazozipata kila kukicha na kuzipiga chini. Diamond alifunguka hivi kuhusiana na hilo;-
Diamond-Platnumz-Ofisini
“Before mimi, wapo wasanii kibao walikua wakitumiwa na makampuni ya kibiashara,lakini maslahi ya kiuchumi hayakua makubwa kutokana na
wasanii wenyewe kutojipa thamani. Ukiniona mie nimekubali kufanya kazi na makampuni ya kibiashara ujue lazima akaunti yangu imekaa vizuri sana. Naijua thamani yangu vizuri,i’ve worked hard kufika hapa nilipo and no one should take me for granted. 

Nashukuru mungu ubishi wangu umenisaidia nalipwa vizuri kama wasanii wengine barani afrika wanavyolipwa,though nimekua vilevile na lose sana,mfano hivi karibuni kuna kampuni moja ya simu ilinipa deal ya $200,000 but i turned it down coz walishidwa kufikia dau langu,also there was a deal na kampuni moja ya unga walitaka kunipa ubalozi , i told them to pay me $120,000 wakasuasua mpaka ilipotoka my number 1 wakarudi tena nikawaambia thamani yangu imepanda waongeze mtonyo na wakishidwa wafanye kazi na msanii mwingine kwa bajeti hiyo,haikua kwa ubaya it was a pure business. 

Ukweli ninastahili kulipwa fedha ninazowaambia kwasababu huwa nazifanya vizuri kazi zangu zote kibalozi na ndio maana coca cola wananitreat vizuri”.
Diamond-Cocacola-South-Africa

TAZAMA PICHA ZA 2 FACE NA MPENZI WAKE WALIVYOSHEREHEKEA VALENTINE DAY HAPO JANA

0 comments



Ikiwa ni siku ya wapenda nao duniani "Valentines" 2face amepost picha instagram akionyesha upendo kwa mke wake Annie ambae alimvisha pete ya uchumba siku kama ya leo miaka 2 iliyopita




HUYU NDIYE MISS TZ ALIYEKIRI KUTEMBEA NA KONDOM KWENYE MKOBA SAA 24! DHARURA INAWEZA KUTOKEA MUDA WOWOTE:

0 comments




Na Jelard Lucas
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.

Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar es Salaam.

HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.

Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: “Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba.”

Akaongeza: “Mimi natumia kondom bwana, mimba itaingia wapi hapa!”
AMANI: Kama ukienda kwa jamaa na akawa hana kondom unafanyaje?
SALHA: Na kwa nini asiwe nayo? Lakini siyo tatizo sana, ndiyo maana mimi huwa nakuwa nazo kwenye pochi muda wote. Nikijua nakwenda kwa jamaa, basi zinakuwa tayari.

Sitaki kisingizio, kama atakuwa nazo fine (sawa) but (lakini) akiwa hana natoa zangu. Unajua mimi ndiye nitakayeingia kwenye matatizo ndiyo maana nakuwa makini mwenyewe.

AMANI: Kwa hiyo hata sasa hivi hapo unazo kondom kwenye pochi yako?
SALHA: (Anacheka) Hapana, hapana... kwa sasa sina na hii ni kwa sababu sina mtu muda huu ila nikiwa naye huwa siachi kuzibeba muda wote.
Credits:Global Publishers

ELIZABERTH MICHAEL(LULU) SASA AWA KIPOTABO CHEKI PICHA HAPA

0 comments




MKE WA T.I AFANYA MAMBO YA AJABU, TAZAMA PICHA ALIZOPIGA AKIONYESHA MAKALIO NA KUSABABISHA MUMEWE KUMPA MAKAVU LAIVU..!!

0 comments

AGNES MASOGANGE A.K.A MABEGI SASA AZIDI KUWALIZA WANAUME KWA PICHA KALI INSTAGRAM, HEBU TAZAMA HIZI KATUPIA JANA NI SHIDAA

0 comments
Unamkubali Agnes Masogange, Basi hizi ndizo picha alizo share na fan wake wa Instagram akiwa ufukweni weekend iliyoisha.Picha hii ameandika "With my frnd mjeda nishida tupu Leo na Cheus wangu @linexsundaymjeda #Beach life"

PENZI LA RAY NA CHUCHU SI SIRI TENA...WENYEWE WAITANA VISURA

0 comments
                Penzi kati la waigizaji wawili maarufu ndani ya bongo movie, Vicent Kigosi – Ray na Mwanadada Chuchu Hans limekuwa sio siri tena baada ya hivi majuzi mwanadada Chuchu hans kuweka picha mbalimbali za Vicent kigosi na yeye kwenye mtandao mmoja wa
kijamii huku akiandika “I love my babyface NO MATTER WHAT (TOO MUCH)” akimaanisha kuwa anampenda sana mwigizaji huyo  kwa hali yoyote ile na anampenda sana.

Penzi hilo limekuwa la utata baada ya kuleta mtafaruku hapo siku za awali baina ya waigizaji Johari na chuchu Hans kudaiwa kuzitwanga wakimgombania muigizaji huyo.
Source:Bongo Movies

BAADA YA STORY ZA LULU KUPATA MCHUMBA KUSAMBAA, LULU AVUNJA UKIMYA NA KUSEMA HAYA

0 comments

BINTI anayeshikilia Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike ya Ziff 2013, Elizabeth Michael maarufu Lulu ameweka wazi kuwa amepata mchumba na kwamba taratibu za kujitambulisha na mahari vitafuata baadaye.
“Unajua mimi ni binadamu na ili nitulie na kujiepusha na majanga, ni vyema kuwa na mpenzi mmoja  mwaminifu, anayenijali mimi na kazi yangu hapo nitasimama na kusema kwamba nimepata sehemu ya kutulia na kuanza maisha mapya ya uhusiano na ndoa,” anasema Lulu.
Hata hivyo anasema yeye na mchumba huyo (ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake) wana mikakati mingi katika kuyafikia maisha ya uhusiano yaliyo wazi na yenye baraka za wazazi.
“Siwezi kukutajia jina kwa sasa itafika wakati atajulikana tu, hata hivyo bado hatujafikia hatua muhimu ikiwa ni pamoja na kujitambulisha kwa wazazi na masuala ya mahari na ndoa. Vitu kama hivi vitafanyika baadaye mwaka huu, hata hivyo wazazi wangu sidhani kama watakuwa na pingamizi katika hili kwani mimi ni mtoto wa kike na nimekua sasa,” anasema.
Kuhusu Mama Kanumba Lulu anasema: “Huyu ni mama yangu hana tofauti na mama Lulu hivyo anajua kila kitu na amenipa baraka zake zote, yaliyopita si ndwele kinachotakiwa ni kuganga yajayo, namshukuru mama kwani amenionyesha upendo wa kweli na kunishauri katika maisha, bila yeye nisingekuwa na ujasiri nilionao sasa.
“Mama Kanumba ni rafiki yangu wa ukweli, ana mapenzi mazito sana kwangu amekuwa mstari wa mbele kunishauri na kunipa mwongozo wa maisha ni nini na wapi nilipokosea na natakiwa kufanya nini ili kuwa na maisha yaliyonyooka,” anasema mwigizaji huyo anayetamba na filamu ya Foolish Age.
Lulu mwenye miaka 19, anasema haikuwa rahisi kwake kufikiria kutulia kiuhusiano ila amepewa mwongozo bora unaomfanya afikirie kufanya hivyo kwa sasa.
“Mimi ni binti na kama ujuavyo nina mapenzi yangu moyoni, si kazi rahisi kuamua kwa sasa lakini nimepewa mwongozo bora na kuona nini natakiwa kufanya. Kama binti napaswa kuzingatia maadili, mimi ni kioo cha jamii, inafika hatua inabidi niishi katika maadili hilo ndilo ninalolifanya sasa.”
Anasema wazazi wake wamempa baraka zote kuhusu uhusiano wake wa sasa: “Wazazi wangu sasa wanafahamu kwamba nimepata mchumba, kwa kweli wamenipa baraka zao zote, pande zote hata Mama Kanumba. Nimekua sasa na mimi nina uamuzi wangu, ni vema kuangalia ninataka nini lakini kikubwa wananishauri.”
Anasema wazazi wake hawakubali kila anachokitaka: “Sina wazazi wa kukubali kila ninachokitaka ila nina wazazi waelewa, wenye kuangalia jambo kabla hawajaniambia sasa unaweza kuendelea, mama yangu ni mkali sana, hana mchezo hasa pale anapoona kwamba nayumba kimaisha,” anasema Lulu.
Kuhusu tetesi zilizoenea kwamba ana uhusiano na msanii wa hip hop Young Dee, Lulu alikana na kusisitiza kwamba hajawahi hata kuwa na ukaribu na msanii huyo.
“Nashangaa taarifa hizo watu wanazitoa wapi na mpaka leo nashangazwa na uvumi ulioenea kwamba tulifumaniwa, usiku ule nilikuwa sehemu nyingine tofauti kabisa, ukweli ni kwamba sijawahi kuwa na ukaribu na Young Dee, wala hata kumfikiria kama ninaweza kuwa na uhusiano naye. Bado, hatulingani kwa kweli,” anasema

18 ONLY++BINTI WA KUSOMA NAYE AINGIA KATIKA MKUMBO WA KIFUSKA, APIGA PICHA ZA UTUPU ....NI MAJANGA...TAZAMA HAPA PICHA HIZO

0 comments
Tatizo ni pesa ndio kitu kinachofanya wanafunzi wa vyuo kupiga picha za utupu na baadhi ya watu soma kisa hiki
Anaitwa M****a,Mwanafunzi wa shule ya sekondari,ST ****,nchini South Africa.
Mwaka Jana akiwa anarudi Shule pamoja na marafiki zake wawili,likasimama Gari aina ya Range Rover,Akashuka Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba rafiki zake huyu mrembo aongee nae pembeni.

Baada ya kupewa Maneno Matamu na kuhaidiwa kiwango kikubwa cha Pesa,akamkubalia.
Wakakutana Kesho,wakafanya yao.Wakaanzisha Uhusiano wa Kimapenzi ambao ulidumu kwa zaidi ya Miezi 9.

Wiki iliyopita,Udakubiz Team tulifanikiwa kuzipata hizi picha baada ya kuanza kuvuja kwa kasi kwenye Internet,inasemekana huyu binti kwa Tamaa zake alipata mwanaume mwingine,Mtoto wa Wizara Nyeti kule South Africa,kwa kuwa ana pesa zaidi ya Mzee-Kijana,akaamua aachane na Mzee-Kijana,kisha aanze kumdate Mtoto wa Waziri.

Kitendo kile kikamkasirisha yule Mzee-Kijana,akaamua kuzisambaza hizi picha za huyu bi-mdada akiwa na Nia ya kulipiza kisasi.

Shaddy Classic inawashauri Wanafunzi wote kuanzia Primary mpaka wanaosoma Chuo,please acheni Tamaa.

Ipo siku kitu kama hiki kinaweza kikakutokea ukakosa pa kuficha uso wako ndani ya jamii.

HII KALI::AWAKAGUA BINT ZAKE BIKRA KILA BAADA YA MIEZI MITATU KAMA KIPIMO CHA UKIMWI

0 comments
clip_image001Mimi ni mtanzania ninaeishi swaziland katika mji wa MPAKA niko hapa toka mwaka 89 nimeoa na nina watoto wanne kwa mke wangu ambaye kwa kabila ni mngwane, kabila hili (japo si yote) lina mila na desturi zake ikiwamo hii ambayo wanaamin huwasaidia mabinti zao kuwa mbali na matendo yahusuyo ngono na wakifanikiwa kwa hilo binti anaechumbiwa au kuolewa anaonekana shujaa na familia anayotoka uthaminiwa sana. clip_image001Mwanzo kwangu hili zoezi lilioneka gumu sana lakini toka nimuozeshe binti yangu aliyemaliza chuo kikuu guateng south afrika imenipa hari kubwa sana ya kudumisha huu utamaduni hapa nyumbani tz.
Kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba ilinilazimu nije na familia yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni kutumia fursa hiyo kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana lakini kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba) nimekuwa nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia mke wangu kuwakagua watoto wetu si cha kiubinadam ikizingatiwa watoto ni wakubwa na wamekwisha vunjo ungo ingawaje nimepata taarifa hivi punde kuwa kati yao mmoja wao si salama kwani kipimo kinaonyesha 'kimepitiliza'

Nina mwezi mmoja tu wa kuwepo hapa na kama si bahati mbaya basi huenda nikapoteza kabisa sifa ya mabinti zangu kwani pande king mswati wamekuwa lulu, nimejenga nyumba nimenunua gari na sasa nategemea kusomesha watoto wa dadaangu marehemu na hilo litafanikiwa tu nikirudi na familia yangu salama pande zile za MPAKA swaz kwani tz ya sasa si ya kipindi kile majungu umbea vijana wamekalia vijiwe tu kupiga domo.

Ushauri wangu kwenu na hasa nyie vijana waleeni watoto wenu katika mfumo huo wa 'kaunta attack' kwani dunia ya sasa imearibika.


BABY MADAHA SASA ANAMCHOKONOA SHILOLE, UNAJUA ALICHOKISEMA??? USIKOSE SOMA HAPA

0 comments
Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole aka Shishi Bybee kwa kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya Shilole, Shilole nae kakikalia kiti kile kile na kuyajibu makavu hayo.
Shilole amedai kuwa hawezi kupoteza muda kumzungumzia Baby Madaha, na kwamba yeye anaamini hana tatizo naye lakini anashangaa kuona anamzungumzia. “Ni kama Baby Madaha anavyonizungumzia mimi, mmekua mkiona na wengine mliumia mkasema sana kwa nini ananizungumzia mimi. Baby Madaha sina tatizo naye lakini nashangaa amekuwa mtu wa kunizungumzia everyday, I don’t know why.” Amesema Baby Madaha.
Mkali huyo aliamua kumpa ushauri Baby Madaha kwa kile alichokiita kumsema yeye vibaya ni kupoteza muda wake.
“Wewe mwanamke, mimi mwanamke mwenzio nafanya kazi, umeshaniona hata siku moja naenda kukuzungumzia somewhere? Muogope Mungu kukaa unamzungumzia mtu ambaye hana time, hana shida na wewe. Hebu tubadilike wanawake tupendane tuache kuzumziana vibaya.” Shilole ameeleza.
“Kwani ukinizungumzia mimi vizuri utapata nini, najua kuna vitu vingi nimekuzidi lakini usikae unamzungumzia vibaya. Wanawake tupendane tupeane sapoti. Ndio maana hatufiki mahali tunabaki tu kulalamika ‘ooh nimerogwa’, hujarogwa umejiroga mwenyewe.” Shilole anakaririwa

WEMA SEPETU ATUPIA PICHA MTANDAONI AKIMCHUMU DIAMOND KWA HISIA !!

0 comments