MANAIKI SANGA NA NEY WA MITEGO SASA CHUI NA SWALA, BIFU MATATA....KISA INASEMEKANA DEMU WA NEY KASHA.......CHEZEA MANAIKI WEYEEE,,,SOMA ZAID HAPA
Msanii wa Bongo Movie nchini Manaiki Sanga "The Don"

Na Mwandishi Wetu
Msanii
Manaiki Sanga "The Don" ameonekana kumtafuta Ney wa Mitego na kuingilia
ndoa yake baada ya kuandika kwenye mtandao wa Facebook akisema kuwa mke
anaejitambia Nay ameshamla uloda sana kiasi cha kutaka kumuoa.
Kwenye
post hiyo Manaiki alisema kuwa msichana huyo ambae hakumtaja jina
alikuwa kama mke wake kwa kipindi kirefu sana na hadia nakuja kumchukua
Nay ambae hivi karibuni ametangaza kumnunulia gari la milioni therathini
kama zawadi.
0 comments: