LULU ATINGA MAHAKAMA KUU DAR HAPO JANA KUSIKILIZA KESI YAKE
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA
wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu
Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo,
Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu
ya kifo cha marehemu Steven Kanumba! Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake kuanza.
0 comments: